Hicho ni cheo cha heshima hapa JF,kwa kuwa sisi ni wanafamilia na tunaishi kwa kuheshimiana basi tunaanza na neno 'Mkuu'
Ni kama vile unavyosema "Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa,Mheshimiwa Mbunge,Baba Askofu,Baba Mchungaji,Ndugu Naibu Waziri n.k"
TANBIHI:Jamii yoyote ya watu waliostaarabika huwa inakuwa na lugha yake au namna ya kuitumia lugha vise Verser is true!