kwa-muda JF-Expert Member Joined Sep 5, 2018 Posts 2,101 Reaction score 5,442 Nov 23, 2018 #21 Jay10 said: Nimemaanisha iphones nahisi huwa completed sana kwa kuangalia menu au interface yake..... Tofaut na nilivyozoea Android phones hvyo nimejikuta sivutiwi nazo......... Click to expand... Ni kwasababu unaitumia ukiwa una mawazo iwe na mpangilio wa ki adnroid ila apple products zimefanikiwa sana kwakuwa na very friendly user interfaces
Jay10 said: Nimemaanisha iphones nahisi huwa completed sana kwa kuangalia menu au interface yake..... Tofaut na nilivyozoea Android phones hvyo nimejikuta sivutiwi nazo......... Click to expand... Ni kwasababu unaitumia ukiwa una mawazo iwe na mpangilio wa ki adnroid ila apple products zimefanikiwa sana kwakuwa na very friendly user interfaces