IPHONE VS ANDROID systems/phones

Jay10

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2018
Posts
724
Reaction score
560
Habar za wakat huu wadau......... Kwa Neema ya mungu mi ni+salama. Naomba kuelimishwa na kushauriwa pia juu ya hili:

Nakiri kuwa sijawahi kutumia simu yoyote ya iphone tangu nijue smartphone zaid ya miaka 10 iliyopita..... Had sasa nimetumia simu za Android system kama Sumsang, Tecno, Huawei N. K

Nimesikia baadhi ya watu wakizisifia sana simu aina ya Iphone pia Gharama zake zimekuwa ni kubwa sana....... Kwasasa nami nataman kuwa na simu hzo (iphone) lakin kwanza wadau na wajuzi wa Iphone, Naomba kujua Uzuri wa Iphones ukilinganisha na Android mana kwang huwa naona Android ni complicated sanaaa.....

Karibuni wazoefu kunitoa ujinga.......
 
Unasema. Android ni complicated ukilinganisha na nini????
Nijibu hapo ili niendelee kutiririka
 
Unasema. Android ni complicated ukilinganisha na nini????
Nijibu hapo ili niendelee kutiririka
Nimemaanisha iphones nahisi huwa completed sana kwa kuangalia menu au interface yake..... Tofaut na nilivyozoea Android phones hvyo nimejikuta sivutiwi nazo.........
 
#iphone complicated
 
Yani android unasema ni complicated? Sasa IOS wewe si utauza ndan ya siku moja...Mi sizan kama kweli una mpango wa kununua iphone wewe.
 
Endelea kutumia Android maana kesho na keshokutwa utakuja kutusumbua hapa, iPhone zimetengenezwa kwa watu ambao ni simple na hawa watu wana enjoy sana kutumia iPhone kuliko
 
Yani android unasema ni complicated? Sasa IOS wewe si utauza ndan ya siku moja...Mi sizan kama kweli una mpango wa kununua iphone wewe.
Brother nadhan nimefafanua vzur kwenye maelezo yang kuwa IPHONE a. k.a IOS huwa naichukulia kuwa complicated so nilitaka ufafanuzi kwa wazoefu wa Iphone or IOS........... SOMA VZURI + FIKIRI + JENGA HOJA....... thanx
 
Endelea kutumia Android maana kesho na keshokutwa utakuja kutusumbua hapa, iPhone zimetengenezwa kwa watu ambao ni simple na hawa watu wana enjoy sana kutumia iPhone kuliko
Kama hujaelewa nilichouliza au kufaham nachohitaji kujua plz niulize nikufafanulie.......... In fact myb hujawahitumia iPhone kama mm...
 
Brother nadhan nimefafanua vzur kwenye maelezo yang kuwa IPHONE a. k.a IOS huwa naichukulia kuwa complicated so nilitaka ufafanuzi kwa wazoefu wa Iphone or IOS........... SOMA VZURI + FIKIRI + JENGA HOJA....... thanx
Acha mambo yako wewe

Soma hapo juu ulivyoandika. Umesema unaona android ni complicated sana...sasa mim na wewe nani wakusoma vzuri?
 
Acha mambo yako wewe

Soma hapo juu ulivyoandika. Umesema unaona android ni complicated sana...sasa mim na wewe nani wakusoma vzuri?
Hakuna haja ya kufika huko kafanya marekebisho kwenye thread #4
 
Kama hujaelewa nilichouliza au kufaham nachohitaji kujua plz niulize nikufafanulie.......... In fact myb hujawahitumia iPhone kama mm...
Natumia iPhone mwaka wa 4 sasa, nimekujibu hivyo kwa kuwa umesema umezoea kutumia Android, kwa mtu aliyezoea kutumia Android ni ngumu sana kuadapte iOS kwa sababu ina restrictions nyingi ambazo hazikupi uhuru kama ulivyozoea kutumia Android na mwisho wa siku utaleta thread ya kuuliza watu ili iPhone yako ifanye kazi the way umezoea kutumia simu za Android, hii ndo ilikuwa mantiki nzima ya kusema stick with your Android platform unless kama we ni mtu wa kuadapte haraka mazingira yoyote karibu kwenye ulimwengu wa iOS
 
Asante,....... Niko flexible xana na siogop vtu vipya........... Nilitaka kujua uzur wake (iPhone) yaan prons n cons over android ili ntapotaka kununua nijue nitakutana na yap au nichague whether ntaendelea na wazo la kununua Iphone au niendelee na android.......
 
Kwa kuongeza tu ukitaka kuitawala sim yako tumia android ila ukitaka kutawaliwa na sim yako tumia iphone.
 
Kusema kweli hata mm natumia iphone kutaka sifa tu ila androad ni nzuri zaidi, zinakupa ufree ambao huwez kuupata kwenye iphone, iphone ma restriction kibao utazan unapewa bure
 
Kusema kweli hata mm natumia iphone kutaka sifa tu ila androad ni nzuri zaidi, zinakupa ufree ambao huwez kuupata kwenye iphone, iphone ma restriction kibao utazan unapewa bure
Asante sanaaaa.... Nimekuelewaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…