IPHONE VS ANDROID Ipi ni simu Bora Zaidi ???


Samsung galaxy note 5 ipo vizuri sema ya muda kidogo. Ila katika simu zote ulizo orodhesha Huawei Mate 20 Pro ni nzuri sana, nadhani ndio simu iliyoongoza kwa ubora wa camera Duniani mwaka uliopita, pia ina features za kipekee, ila bei yake juu pia.
 
Hiyo namba saba sio nzuri, kwanza inatumia Mediatek Chipset, kama unataka Xiaomi chukua Redmi Note 6 Pro au Redmi Note 7 hizi ni mid-range. Kama unataka high-end tafuta Mi 8, Mi Mix 3 au kama ww sio wa show chukua Pocophone F1.
Ni ww na mfuko wako tu!
 
ok!achana na hiyo namba 7,izo zingine je?
 
Samsung galaxy note ipo vizuri sema ya muda kidogo. Ila katika simu zote ulizo orodhesha Huawei Mate 20 Pro ni nzuri sana, nadhani ndio simu iliyoongoza kwa ubora wa camera Duniani mwaka uliopita, pia ina features za kipekee, ila bei yake juu pia.
ok!mkuu vp grarama yake inafika 1m?
 
ok!mkuu vp grarama yake inafika 1m?
Inafika mkuu, labda utafute Mate 20 Lite nadhani ni worth for the money kuliko hizo Samsung. Lakini Samsung kwenye display yupo vizuri zaidi ndio kinachopelekea simu kuwa ghali, lakini pia ukikuta hizi kampuni za simu wanutumia display za AMOLED au OLED bei ya lazima ichangamke, kuliko screen za IPS LCD.
 
shukran mkuuu,km inafika 1m na samsang note 9 si itakuwa inazidi hapo?
 
Zichange chukua note9 utaenjoy hii kitu ni usipime!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo Samsung ukitoa namba 1 ni simu za kawaida sana, halafu bei ni mkasi, kama unaweza pata Nokia 8 nadhani hakuna mid-range ya Samsung inayomfikia, pia kuna brand nyingi tu ambazo ni worth for your money, mfano; Oppo, Xiaomi, Honor, Lenovo, etc.
 
Hizo Samsung ukitoa namba 1 ni simu za kawaida sana, halafu bei ni mkasi, kama unaweza pata Nokia 8 nadhani hakuna mid-range ya Samsung inayomfikia, pia kuna brand nyingi tu ambazo ni worth for your money, mfano; Oppo, Xiaomi, Honor, Lenovo, etc.
poa mkuu ngoja nizicheck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…