IPHONE VS ANDROID Ipi ni simu Bora Zaidi ???

iPhone na Android ni vitu viwili tofauti hapo unazungumzia brand ya simu ( iPhone ) na pia unazungumzia Os ya simu ( Android )

Ulitakiwa kuandika ivi

iOS na Android ipi mi bora
Tatizo Unajifanya Mjuaji wakat hata huna lolote.. Na una jifanya Mjinga wakati unaakili... Apple smart watch [emoji355] si inatumia ios Saaa wewe umeona kabisa hapo nimeweka IPHONE VS ANDROID kwani mm Sikujua kama Android ni OS ?? sasa ulitaka niseme IOS VS ANDROID kwani kwenye maelezo kama ukitumia Akili Hukona nimesema Simu? Sasa jifanye mjinga wakat akili unazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba apps zingine huoni tofauti au kujitoa akili???[emoji849][emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanapenda Kujishau na kujifanya wajuaji wa Mambo wakat na wao Wanasoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hauna bundle au shida ni nini!!!!
Siko interested na muvi wala kucheza game
Lakini huwa najiuliza kwa nini hawa jamaa wanauza mamilion ya simu wakishindana na brand kama samsung, huawei, htc???
 
Kwani akuna smart watch zinazo tumia Android[emoji3] [emoji3] [emoji3] kubali umetoa boko
 
Kwa ufupi

iPhone ni device ( Hardware ) na sio Os na Android ni software Os

Kumuelewesha chizi ni kazi sanaa[emoji3]
 
Siko interested na muvi wala kucheza game
Lakini huwa najiuliza kwa nini hawa jamaa wanauza mamilion ya simu wakishindana na brand kama samsung, huawei, htc???

Kushindana ndio biashara yenywe,nikadhani labda watu hawana option zaidi ya ios.
 
Kwa ufupi

iPhone ni device ( Hardware ) na sio Os na Android ni software Os

Kumuelewesha chizi ni kazi sanaa[emoji3]

Ilitakiwa jamaa aulize kati ya ios na android ninunue simu gani si ndio???

Mfano mimi ndio nimeuliza hivyo ungenijibuje???
 
Ilitakiwa jamaa aulize kati ya ios na android ninunue simu gani si ndio???

Mfano mimi ndio nimeuliza hivyo ungenijibuje???
Sasa alitakiwa kuuliza ivyo then mi ningekuja l budget yake ni kiasi gani then ningempa SoMo kidogo ... iOS too many security haikupi option nyingi Kama ilivyo Android so ningemwambia go for Android Huawei na Samsung Kuna simu Kali kishenzi
 

Kibongo bongo uzuri wa iPhone ni kwamba haiji na bloatware kama Android, pia kuna option hata ya kuondoa baadhi ya preinstallled apps


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Katika pitapita yangu mtandaoni lep nimekutana na hili jambo kuhusu iPhone kudukuliwa na Falme za Kiarabu,Wataalamu watupe nasaha zao kidogo kuhusu hili jambo.

Sent using Samsung Galaxy
 
Kibongo bongo uzuri wa iPhone ni kwamba haiji na bloatware kama Android, pia kuna option hata ya kuondoa baadhi ya preinstallled apps


Sent from my iPhone using JamiiForums

Inategemea ni Android ROM gani, si ROM zote zenye bloatware, mfano Android One (stock rom) haina unnecessary apps. Kama unapenda Android ambayo haina bloatware ni bora uchukue simu yenye Stock Rom. Mfano; Pixel, Mi A, Nokia, etc.
 
wakuu hbr za j2?nnakabajeti kangu mbuzi,nataka kuchukua simu but sijajua nichukue ipi kati ya hizi.
1.samsung note 5, nimeipenda xn note 9 ila sina salio.
2.samsung A7
3.sumsung J7 neo or pro
4.samsung J6plus
5.infinix note 5 stylus
6.samsung j8
7.xiomi redmi6
8.huawei honor8 or huawei mate 20 pro.
kuanzia namba 2 hadi 7 nahic bei zake hazitofautiani xna naweza kumudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…