IPHONE VS ANDROID Ipi ni simu Bora Zaidi ???

Movie naangalia kupitia youtube, narudia binafsi niliyokua nafanya Samsung nayafanya Iphone.

Kwa mwingine inaweza kumtawala ila mimi naitawala.

Mwanamke na purukushani za Apps mbali mbali wapi na wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwamba purukshani na Apps wap na wap [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wengi wanatumia Instagram, Whatsap, Snapchat, Jamiiforum labda na hizo game basi.

Sasa Wanaume mara sijui ku-root simu[emoji23][emoji23][emoji23] yaani mna mavitu mengi

We acha tu bado hatuja wa Spy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Movie naangalia kupitia youtube, narudia binafsi niliyokua nafanya Samsung nayafanya Iphone.

Kwa mwingine inaweza kumtawala ila mimi naitawala.

Mwanamke na purukushani za Apps wapi na wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
YouTube unaangalia movie za zamani zamani, tofauti na android mwenye Show box, Megabox ama Vedeoder anaangalia movies mpya muda wowote na ku download juu.
 
Android ndo simu gani?
Au tecno S1
 
Magame yote niliyokua napata Samsung nayapata Iphone

Apps nilizokua natumia Samsung zote nazipata Iphone

Msiwakatishe tamaa watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
App zilizopo playstore sio zote zipo app store mfano rahisi showbox,cartoonhd .na asilimia kubwa ya madevelop hawangaiki kudevelop app kwa ajili ya ios kwakua inawatumiaji wachache ukilinganisha na android na asilimia kubwa ya app zilizo kwenye store za ios ni zakununua.android ni Os ambayo iko poa na inakupa uhuru haina limit kama iod.best kwangu ni android
 
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
iPhone na Android ni vitu viwili tofauti hapo unazungumzia brand ya simu ( iPhone ) na pia unazungumzia Os ya simu ( Android )

Ulitakiwa kuandika ivi

iOS na Android ipi mi bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…