Mtoa Msaada
Member
- Feb 5, 2019
- 57
- 33
- Thread starter
-
- #41
Nadhan HukunielewaHuwezi kulinganisha android na iPhone kwa upande wa products za simu labda ungeuliza android na iOS (iphone OS) ipi ni system nzuri!!!
Nasema hivo coz android ni open source, kampuni lolote la simu linaweza kuichukua na kumodify mfano, kwa kutengeneza drivers mbalimbali ambazo zitawasiliana vizuri na kernel pamoja na hardware parts nyngne.
So android kwa samsung ni tofauti na android kwa tecno na pia ni tofauti na android kwa nexus. specify brand mkuu, labda ungeuliza iPhone na tecno ipi ni bora au iPhone vs samsung au iPhone vs nexus etc....
Iphone ina game za kitoto sana, kukata matunda, kupanga viboksi, kushoot ndege...hahahah. Yani vigame vya miniclip ndio vimejaa kwenye iphone.Kabisaa... Kuna jamaa anapenda kucheza games lakini ana iphone utacheka akiwa analazimisha iphone icheze games[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Iphone inahitaji mtu asiekuwa na mambo mengi sijui Kudownload Movie..mara music... Kuna masharti na kero kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
Game lako si temple run au angry birds labda, ila kimsingi huwezi kukuta games zinazotumia grahics accelerator kwa nguvu kwenye ios. Games za kitoto nyingi ndio zipo kwenye iOS. Ila games za mission zinazotumia very strong graphics huzipati kwa iOS productivity apps pia sio nyingi kwenye iOS sidhani hata kama Ms-Office ipo kwenye iphone.Kwa mimi Game niliyokua natumia napata, sijaona cha utofauti najionea sawa tu.
Kama Music natumiwa watsap na ninasave so sioni tofauti kihivyo labda kwenye movie tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Yote mie nimetumia Iphone baadh ya Games huzipati ila ukija kwa Mtumiaji wa Android Unazipata
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishii we jamaaa bhana sasa huo si upande mwingine kasemea.... Hata mimi Pia naweza Nunua simu kwa ajili ya game ndio... kwani kunaAise! Matumizi ya cm kwa waTz ni zaidi ya ufikirivyo. Kusudi la kununua cm flan ni kwa ajili ya games. Bado tuna mwendo kwa kweli
Game lako si temple run au angry birds labda, ila kimsingi huwezi kukuta games zinazotumia grahics accelerator kwa nguvu kwenye ios. Games za kitoto nyingi ndio zipo kwenye iOS. Ila games za mission zinazotumia very strong graphics huzipati kwa iOS productivity apps pia sio nyingi kwenye iOS sidhani hata kama Ms-Office ipo kwenye iphone.
Yeah hapo umeongea pweintii sanaHa ha Candy crush saga na lingine mpaka niangalie jina basi.
Ms-office ipo ila hata sijawahi itumia.
Ila nakubali mtu mwenye mavitu mengi basi haimfai kuna muda nahisi kama imekaa kikike maana wadada huwa hatuna mambo mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Taarifa yako soon Nashusha POCO F1 kwaajili Ya Games tu.. Kazi kwako sasa ufikiliavyo.Aise! Matumizi ya cm kwa waTz ni zaidi ya ufikirivyo. Kusudi la kununua cm flan ni kwa ajili ya games. Bado tuna mwendo kwa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ana iphone ya kucheza game la nyoka na kumuangalia mange kimambi huyooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anakaa kuongea pumbaa hapaaKwa Taarifa yako soon Nashusha POCO F1 kwaajili Ya Games tu.. Kazi kwako sasa ufikiliavyo.
Unataka Ninunue simu kwaajili Yakutangazia Taarifa ya Habari?? Nafanya kitu Roho inapenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo labda kwenye movie tu tayari ishaonesha iphone inakuwatala kufanya vile inavyotaka while android unaweza kuifanya vile utakavyo weweKwa mimi Game niliyokua natumia napata, sijaona cha utofauti najionea sawa tu.
Kama Music natumiwa watsap na ninasave so sioni tofauti kihivyo labda kwenye movie tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ana iphone ya kucheza game la nyoka na kumuangalia mange kimambi huyooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anakaa kuongea pumbaa hapaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mara nyingi uwezo wa simu hupimwa kwa games kubwa kubwa..Aise! Matumizi ya cm kwa waTz ni zaidi ya ufikirivyo. Kusudi la kununua cm flan ni kwa ajili ya games. Bado tuna mwendo kwa kweli
Hakika mkuu. Chipset zinazotumika kwenye Android devices ni powerful kwenye upande graphics uki compare ns iPhone chipset.Game lako si temple run au angry birds labda, ila kimsingi huwezi kukuta games zinazotumia grahics accelerator kwa nguvu kwenye ios. Games za kitoto nyingi ndio zipo kwenye iOS. Ila games za mission zinazotumia very strong graphics huzipati kwa iOS productivity apps pia sio nyingi kwenye iOS sidhani hata kama Ms-Office ipo kwenye iphone.
Hapo hamna game mkuu, labda kama anazicheza huyo chalii uliomuweka hapo backgroundHapo kwenye games hapana sio kweli mimi natumia ios na ni iphone 6s tu na iko poa sana mbona,sitaki kusema anaetumia iphone 7 au iphone x.
Mimi nimeuza galaxy s8 plus nikachukua iphone 6s na sijutii uamuzi wangu. Naomba mtu atafute iphone kuanzia 6s kwenda juu then aone utofauti,sema pia hobby iwe ya kupenda vitu complicated na uwe na laptop. Laptop nina windows ten na ya mkononi nina iphone 6s zote complicated technologies ila mm napenda vitu complicated,kama unapenda vitu simple na hutaki kujifunza technologies basi tumia tu android devices
View attachment 1015620
Games hizo mpaga pugb mobile nacheza
View attachment 1015621
Ringtone nimemodify nimeweka huo na nimetumia tu itune kuutengeneza kw akufuata maelekezo google
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwambie huyooo....Y
Hapo hamna game mkuu, labda kama anazicheza huyo chalii uliomuweka hapo background
Hapo labda kwenye movie tu tayari ishaonesha iphone inakuwatala kufanya vile inavyotaka while android unaweza kuifanya vile utakavyo wewe
Kidogo kagemu hapo ni PUBG ya huyo dogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila zingine Dadeq hizo nazo ni Game dahHapo kwenye games hapana sio kweli mimi natumia ios na ni iphone 6s tu na iko poa sana mbona,sitaki kusema anaetumia iphone 7 au iphone x.
Mimi nimeuza galaxy s8 plus nikachukua iphone 6s na sijutii uamuzi wangu. Naomba mtu atafute iphone kuanzia 6s kwenda juu then aone utofauti,sema pia hobby iwe ya kupenda vitu complicated na uwe na laptop. Laptop nina windows ten na ya mkononi nina iphone 6s zote complicated technologies ila mm napenda vitu complicated,kama unapenda vitu simple na hutaki kujifunza technologies basi tumia tu android devices
View attachment 1015620
Games hizo mpaga pugb mobile nacheza
View attachment 1015621
Ringtone nimemodify nimeweka huo na nimetumia tu itune kuutengeneza kw akufuata maelekezo google