iPhone OS Upgraded using iTunes - no services Msaada jamani

Baba Watoto

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
393
278
iPhone yangu nimeipgrade kwa kutumia iTunes kutoka os 4.3.2 kwenda os 5 sasa imerudia factory settings na inataka line za AT & T tu, ukiweka za kwetu inasema 'No Service'
 
Toa details zaidi, ni 3G, 3GS,4 au 4S,halafu soma baseband yake-Moderm Firmware,halafu zimwage hapa huwezi kukosa msaada na inataka uingize laini gani(kama inatoa details)
 
kwa kutokana na maelezo yako naweza kukwambia kwamba simu yako ilikuwa jailbroken( the process of removing the limitation imposed by apple) lakini ulivyoirestore inarudi katika hizo limitation. Sasa cha kufanya ni either kuirestore kwenda kwenye 4.3.2 au kama unataka kutumia 5 basi uijailbreak hiyo 5. lakini hiyo itatokana na baseband unayotumia kwenye hiyo 5.
 
Wakuu, nilikua bush kidogo mawasiliano ni magumu sana
Ni Iphone 4
version 5.0.1

Napenda tumia 5 au hata kama inawezekana kuirudisha itakuwa pouwa tu. Mwanzo ilikuwa
inasoma hivi
Version 4.3.2 na ilikuwa inaingia line zote.
Sasa hivi nataka weka VODACOM

Msaada kwa anayeweza kunisaidia km kwa maelekezo itashindikana. Nilijaribu kujailbreak kwa kutumia redsn0w nafikiri nilikuwa nashindwa, kuna software nyingine nikaweka napo empty tu
 
Uko wapi??? Nilikuwa na tatizo kama lako.....
Nenda mtaa wa Kariakoo pale oppoaite na Bank ya Posta kuna mafubdi kiboko yaoooo... au kama utapenda nipm nikupe namba ya rafiki yangu aliyekanipeleka kwa fundi....

Mind you wapo kibao wanafanya hizo kazi
 
Mkuu inachukua muda gani na kiasi gani kutengeneza, na wanarudisha au wana jailbreak os 5 naendelea km kawa?
 
Back
Top Bottom