Faida za ku jailbreak ni nyingi kwani inakupa uwezo wa kufanya chochote kwenye idevice na hautachoka kuitumia believe me kama kucheza game za playstation kubadilisha muonekano wa simu na mengine mengi.mimi iphone yangu niliifanyia jail breaking na sikupata shida yoyote ya kuharibu simu wala nini nilitumia pangu.hata ukitaka ku unjailbreak namaanisha kuirudisha katika hali yake ya kawaida ni easy sana kwa hiyo usiwe na wasiwasi.
Kama ni Ushoga hapa TZ upo mwingi sana Zanzibar na Tanga ndo usiombe mpaka madaktari sijui utakataa wasikutibu mpaka waalimu sijui mtoto wako utamzuia asisome.