Iphone ndio simu ya mkononi ghali zaidi duniani

Iphone ndio simu ya mkononi ghali zaidi duniani

Toba yarabi mie.....simu ya mkono dot kiganjani watu wanatengana na milioni 30?! Ama vidole katu havitalingana....

Usiogope mkuu ,hizo ni collectors items,sio tamu kiviile,kama utakavyoenjoy kwenye iphone au samsung na nokia.hapo ni mpango wa jewels,preciou stones ,expensive casing baasi!i
 
Ooh kumbeee. Forever Pro iOS

Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Ooh kumbeee. Forever Pro iOS

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka hapo wanazungumzia iPhone 5s special order covered with GOLD , umeangalia pic lakini ukajua ni simu ipi inazungumziwa

mtaongea weee lakini vertu ndo simu ya bei ghali duniani
 
Toba yarabi mie.....simu ya mkono dot kiganjani watu wanatengana na milioni 30?! Ama vidole katu havitalingana....

hyo simu inatoa hela Dina
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli Mkuu, Blackberry Porsche Design P'9982 inauzwa zaidi ya dola 2,000. Hata hivyo nayo ni cha mtoto kwa Vertu ambayo ilikuwa ni subsidiary ya Nokia kabla hawajaiuza. Simu za Vertu huanzia Dola 5,000 - 85,000. Kuna moja niliiona pale Mlimani City kwenye duka la Voda ilikuwa inauzwa Tshs 30,000,000.

Too much of anything is harmfuL..uongo umeuzdsha mpaka umetoka nje ya ukweli!

Sent from my iPhone4 using JamiiForums
 
mtaongea weee lakini vertu ndo simu ya bei ghali duniani

Sawa weka hapa na bei ya iPhone cover in pure GOLD .... Tatizo wewe unasumbuka na model za kawaida na sio special order , Hiyo Vertu inauzwa ghala kwa mazingira yepi? Pata specification zinazoifanya iwe ghala utapata majibu kwamba unashindanisha wrong model
 
Too much of anything is harmfuL..uongo umeuzdsha mpaka umetoka nje ya ukweli!

Sent from my iPhone4 using JamiiForums

sasa jamaa alichodanganya ni nn? gugo vertu phone uone! cm hadi screw ni gold tupu
 
View attachment 167244

Kwa kujibu jarida la richest imethibitisha kwamba simu za mkononi za iphone Ndio simu maarufu na ghali zaidi duniani ulaya marekani ni 90% ya watu utumia simu hizi, hii tofauti na africa ni 0.01% ndio wanaotumia simu hizi, imeelezwa umaarufu wake unatokana na mfumo wake wa ios ambapo kirusi chochote akiwezi kuiathiri , pia jarida hilo zimetaja simu zingine za mikononi kama blackberry, samsung , zikifatia kwa karibu.

Ndo maana nazipendaa
 
Usiogope mkuu ,hizo ni collectors items,sio tamu kiviile,kama utakavyoenjoy kwenye iphone au samsung na nokia.hapo ni mpango wa jewels,preciou stones ,expensive casing baasi!i

Oooh...labda sawa. Mmmh, ila bado mkuu.....
 
Back
Top Bottom