Iphone ndio simu ya mkononi ghali zaidi duniani

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501

Kwa kujibu jarida la richest imethibitisha kwamba simu za mkononi za iphone Ndio simu maarufu na ghali zaidi duniani ulaya marekani ni 90% ya watu utumia simu hizi, hii tofauti na africa ni 0.01% ndio wanaotumia simu hizi, imeelezwa umaarufu wake unatokana na mfumo wake wa ios ambapo kirusi chochote akiwezi kuiathiri , pia jarida hilo zimetaja simu zingine za mikononi kama blackberry, samsung , zikifatia kwa karibu.
 
Nawashangaa wanaotafuta Antivirus kwa ajili ya kuweka kwenye simu!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
si kweli!
 
Simu ghali niijuayo mimi ni Blackberry Porshe,ambayo moja wawezanunua Iphone 4 ata tatu,na huwezikuziona kila kona kama ilivyo Iphone
 
Alaaa kumbeee!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
matangazo madogo madogo ya biashara.
 
Simu ghali niijuayo mimi ni Blackberry Porshe,ambayo moja wawezanunua Iphone 4 ata tatu,na huwezikuziona kila kona kama ilivyo Iphone

Ni kweli Mkuu, Blackberry Porsche Design P'9982 inauzwa zaidi ya dola 2,000. Hata hivyo nayo ni cha mtoto kwa Vertu ambayo ilikuwa ni subsidiary ya Nokia kabla hawajaiuza. Simu za Vertu huanzia Dola 5,000 - 85,000. Kuna moja niliiona pale Mlimani City kwenye duka la Voda ilikuwa inauzwa Tshs 30,000,000.
 
Toba yarabi mie.....simu ya mkono dot kiganjani watu wanatengana na milioni 30?! Ama vidole katu havitalingana....
 
Fikra za Stive Jobs zitaishi kwa karne nyingi.
 
Simu ghali niijuayo mimi ni Blackberry Porshe,ambayo moja wawezanunua Iphone 4 ata tatu,na huwezikuziona kila kona kama ilivyo Iphone

Sas wew unalinganisha nn apo.?iphone 4 au iPhone in general
 
Simu ghali niijuayo mimi ni Blackberry Porshe,ambayo moja wawezanunua Iphone 4 ata tatu,na huwezikuziona kila kona kama ilivyo Iphone

Kumbuka hapo wanazungumzia iPhone 5s special order covered with GOLD , umeangalia pic lakini ukajua ni simu ipi inazungumziwa
 
Mkuu wa umaarufu sawa ....lakini hilo la ughali ni uongo kwani bei ya iphone 5 ni chini ya Samsung note 3 huko marekani ukitaka kujiridhisha ingia ebay au bestbuy
 
hiyo data ya africa sijui umetoa wapi, hata hiyo ha UK ati 90%... yani kila kitu uongo, bado sio ya bei ghali, bado kusema hakuna kirusi kinachoweza kuaffect iOS nayo uongo, yani uongo wooote.. leta source ya data zako
 
iphone zote zinatengenezwa china.

Hvi wew ushawahi kutumia iPhone au unapga kelel 2..iPhone zte disigned in calfonia ila wanazi assemble china kwnye cheap labour..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ