tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 499
Kwa kujibu jarida la richest imethibitisha kwamba simu za mkononi za iphone Ndio simu maarufu na ghali zaidi duniani ulaya marekani ni 90% ya watu utumia simu hizi, hii tofauti na africa ni 0.01% ndio wanaotumia simu hizi, imeelezwa umaarufu wake unatokana na mfumo wake wa ios ambapo kirusi chochote akiwezi kuiathiri , pia jarida hilo zimetaja simu zingine za mikononi kama blackberry, samsung , zikifatia kwa karibu.