iphone na nyumba ya kupanga

SMH πŸ€¦β€β™‚οΈ
Mtoa mada hujapata tu mda wa kutumia iPhone usitunange plz!!!
 
Kujenga nyumba ni investment inayotumia pesa nyingi, maisha mengine hayawezi kusimama kisa kujenga nyumba. kuna watu wanamiliki hadi ndinga za 30mil. na wanaishi nyumba za kupanga, kila mtu ana mipango yake
Lakini nyumba siyo investment
 
Jamani maisha ni mipango tu kuna mtu anaona ni bora ajenge zen anunue gali lakini kuna mwingine ananunua gali alafu anajenga mdo mdo jamani maisha yenyewe mafupi sana kama mtu kanunua iphone ya 1 m mwache tu coz ndio furaha yake ila mimi mwenyewe nina kakiwanja kangu lakini nikipata kaela fulani nataka nivute ka vitz mana dah nimechoka kutembelea tz 11
 
"Nyumba yangu nyingine"...!!.
 
Maisha ni mipango,kila mtu anafanya anachoona sahihi kwa wakati anaofanya.mwenzako anamiliki simu ya 1M+ wakati ww hata simu ya laki mbili huna.kwahiyo na ww tukushangae?
 
Huko ni kupangiana pesa
Kwani kwenye kuitafuta tulisaidiana!

Ova
 
Hata mimi simwelewagi mtu anayenunua gari wakati hana hata kiwanja Halaffu hapohapo anafanya kazi private company na hana biashara yoyote
Hata yeye hawezi kukuelewa kwanini humuelewi.
 
Sawa kila mtu na priorities zake but ukipewa nafasi ya kumshauri bora aanze na assets Kwanza otherwise kama anaanza na gari ambayo itamsaidia kuongeza kipato lakini sio kwaajili ya kuendea kazini
Kila mtu na priorities zake, akikuomba ushauri mshauri.
 
Jamii forum bana,ukute ulieandika hapa kuwashauri watu wasijenge,unakaa kwenye chumba cha baba yako
 

Unazika mi 20 ili upate elfu 80? Kama kweli akili ni nywele basi wewe una upara
 
Hiyo ni roho ya kichawi mkuu,kunawatu wanandinga za 40-100m na wamepanga sembuse simu πŸ€·πŸΎβ€β™‚οΈ
 
Siku hizi mada za kushambulia iPhone zimekuwa nyingi hapa jukwaani.

Huu mjadala niliuona kule twitter mida ya asubuhi, kumbe umehamishiwa na huku, basi sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…