EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
battery health[emoji3062]Una uhakika hiyo simu uliinunua ikiwa mpya au ni mtumba?
Mimi mwaka wa pili huu na chuma bado kipya kabisa hakina hata scratch wewe unasema miezi kadhaa?
Weeeee! Hilo lihuawei kwanza bei yake tu hugusi alafu halina pre installed google apps mpaka udownload mwenyewe kwenye gallery app.iOS update zao ndio chanzo kikubwaa,
sasa on display fingerprint sijui itakuwajee..
Mmmmmh huawei wameachi Mate 30 pro, aloooo huyu jamaa ndio maana wanamuwekea figisuuu
simu siyo ndoaHAYA MASIMU YANAUZWA GHALI LAKINI FRINGER PRINT BURE KABISAA,
WANAKWANA WAPI HAWA JAMAA WANAZIDIWA HATA NA VIMEO VYA KICHINA??
Simu tunatumia gharama kubwa kummiliki miezi kadhaa ina-fail fingerprint tunashindwa kujilinda na wadukuzi tunaoishi nao karibu.
hivi ban yao si ililegezwa mashart? M nikajua kila kitu kipo sawaaa,Weeeee! Hilo lihuawei kwanza bei yake tu hugusi alafu halina pre installed google apps mpaka udownload mwenyewe kwenye gallery app.
.
Bei yake ni euro 1099 embu ibadilishe kwa fedha za madafu
Labda unatumia refurbished phone mkuu .
Una uhakika hiyo simu uliinunua ikiwa mpya au ni mtumba?
Mimi mwaka wa pili huu na chuma bado kipya kabisa hakina hata scratch wewe unasema miezi kadhaa?
mkuu samsung s5 mpk s7 zote zina fingerprin kwenye home button lkn hili tatzo sio kubwa kwao km iphoneiphone kufa finger print sensor ni kawaida, sababu inatumika sana. Finger print sensor za simu nyingi zipo nyuma ya simu, hivyo watu wanafungua simu kwa pattern or keylock, wakati iphone almost kila mtu anafungua kwa finger print sensor. Pamoja na yote sijawahi kutana na iphone iliyokufa finger print sensor.
Yes na wameruhusiwa kutumia android 10 ndio hiyo ipo kwenye hii p30 bei sasa mzee wangu khaahivi ban yao si ililegezwa mashart? M nikajua kila kitu kipo sawaaa,
ila nimependa flagship za mwaka huu,
wameimprove sana battery capacity(japo battery life inaamuliwa na factor nyingi)
iphone 11 pro max wapiga almost 4000maH
Nunua simu ogHAYA MASIMU YANAUZWA GHALI LAKINI FRINGER PRINT BURE KABISAA,
WANAKWANA WAPI HAWA JAMAA WANAZIDIWA HATA NA VIMEO VYA KICHINA??
Simu tunatumia gharama kubwa kummiliki miezi kadhaa ina-fail fingerprint tunashindwa kujilinda na wadukuzi tunaoishi nao karibu.
acha dharau mkuusimu siyo ndoa
nunua nyingine
Kuna watu wanajifanya matawi lakini ukweli ndio huoThis is not an issue. Hata Samsung nyingi zipo Refumblished. Ulisha wai ona Samsung imefial FP Scanner?
Umemaliziaje??iphone kufa finger print sensor ni kawaida, sababu inatumika sana. Finger print sensor za simu nyingi zipo nyuma ya simu, hivyo watu wanafungua simu kwa pattern or keylock, wakati iphone almost kila mtu anafungua kwa finger print sensor. Pamoja na yote sijawahi kutana na iphone iliyokufa finger print sensor.