Mikewill made
Member
- Nov 10, 2020
- 5
- 0
History fupi ipoje ilkuwa inashika mwanzo au tangu ununue haifanyi kazi
Kama simu yako inahihitaji unlock network careerHello
Naomba kufahamu ni namna gani simu yangu Iphone 6s+ isiyokubali line itatengemaa na kutumika kama kawaida
Maana inatumia wi_fi only kwa ajili ya network so no call wala sms.
Msaada kwa mwenye idea na ujuzi kwenye hilo
Haisomi line kabisa? Either ilikua ni showroom model au kuna hardware failure.Hello
Naomba kufahamu ni namna gani simu yangu Iphone 6s+ isiyokubali line itatengemaa na kutumika kama kawaida
Maana inatumia wi_fi only kwa ajili ya network so no call wala sms.
Msaada kwa mwenye idea na ujuzi kwenye hilo
nikikumbuka mwaka 2014 niliuzuwa simu iphone 6 sehem moja inaitwa chengdu jimbo la sichuan, china. Ile simu niliona inachemka sana nikiwa natumia. Kuja kucheki imewekwa android OS! yule mchina akae akijua milima haikutani.
iphone 6+ ni MEID kama wali bypass iCloud untethered ipo wazi sim haitoweza kusoma GSM ndo zinasomaKama simu yako inahihitaji unlock network career
Simp tu naweza hata kukupatia msaada bure kabisa ila kama uli bypass hiyo iPhone yako na ni MEID hapo huna namna zaidi ya kulipia kwa server maalumu kiasi kisichopungua 250000
Kusoma inaweza yeye alipie tu kwa serveriphone 6+ ni MEID kama wali bypass iCloud untethered ipo wazi sim haitoweza kusoma GSM ndo zinasoma
Kusoma inaweza yeye alipie tu kwa server
Kusoma inaweza yeye alipie tu kwa server
Kulingana na maelezo yake nalijua tatizoMnabadilisha mada ya mhusika hata ajazungumzia mambo hayo ya meid wala gsm unajuaje tatizo lake ni hilo
Waliflash kwa sababu gani? Ilikua icloud locked au nini shida? Details ni muhim kujua tatzo ni niniIlikua inasoma ikaflashiwa
MEID hazisomiKusoma inaweza yeye alipie tu kwa server
mkuu naomba unijuze maujanja ya bypass iPhone tafadhalKwa wasiofahamu ni kwamba kuna simu nyingi sana hizi za iPhone watu wanakuwa wana wanasahau apple id pamoja na password na swala la kuiflash ili iweze kufuta ilikuwaga ngumu sana, lakini kadili siku zilivyozidi kusogea na tekenolojia kwa watu ililetewa software ya kuweza kubypass hizo iPhone.
Zipo iPhone zenye MEID na ambazo hazina MEID
Zile zenye Meid zikishabypasiwa zinakosa uwezo wa kusoma laini na zenye ambazo hazina Meid ikishabypasiwa inasoma kila kitu.
Sasa simu yako imebypasiwa na ilikuwa na MEID swala la kusoma laini sahau kabsa. Tumia hivyo hivyo mkuu.
View attachment 1692158
Hello,
Naomba kufahamu ni namna gani simu yangu Iphone 6s+ isiyokubali line itatengemaa na kutumika kama kawaida. Maana inatumia wi_fi only kwa ajili ya network so no call wala sms.
Msaada kwa mwenye idea na ujuzi kwenye hilo