ok Sory Nli 4get Kukuelekeza Hio!! kuna Njia Mbili !! yakwanza Unachomeka Cable Kama Kawa Unashikilia buton Ya Kuzimia Na Ya Kat kat (home Button) ikikwambia Slide to Power Off Usi Slide ww Endelea Kushikilia Tu Hizo Button Itajizima ila endelea Kushikilia Button Mpaka Itakapo jiwasha ndo Unaachia Button!!
Njia ya Pili Ndo Rahsi!! Unazima simu Yako kikawaida Tuu!! then Ikishazima Unashikilia Button Ya Katikati, Home Button Then Unachumeka Cable Huku Ukiwa Umeishikilia Home Button Moja kwa Moja Huwa Inajiwasha Kwenye Recovery Mode!!
i phone ikiwa Kwenye Recovery Mode Ndo huwa Inaonekana hvyo !! Japo inaweza kua tofaut kdogo kama uli update Software Hapo Huwa Haionekani Cd inaonekana alama hii!! Ila Hamna Utofaut Wala Ziskuchanganye
Ngoja Nikutaftie Na File Za IPSW !! ili Ikiwezekana U update software Manualy