iphone is disabled connect to itune

habari wakuu kuna i phone inaandika km hivo hapo juu je niki connect itune itarudi km awali nina wasi wasi kuwa itahitaji i cloud na simu yenyewe nimeziwa mtaani hata i cloud sijapewa je kuna msaada naweza upata hapa au niachane nayo
Ni vizuri mnapoutuma ama kuuliza maswal weka model ya simu ikibidi piga picha ambatanisha hapa ili tuje tunaanzia wapi
 
4
20211209_160247.jpg
 
Angalizo usiuodate firmware kabla hujaelewa kifaa chako kinahitaji nini hiyo itafanya iwe kazi ngum kweli kwel kwa sabu hutaweza ku downgrade

Aaanha hiyo iPhone 4s zipo aina 3 moja
unaweza bypass kwa simple steps ila ikiwa sio bahati basi utawasiliana na mimi ili niweze kukutolea icloud ikiwa ina icloud kwanza kabisa kama hutajali weka imei yake hapa kwa simu za iphone imei hua sio issue san maan ni kaz kubadlisha hivyo unaweza kuwek au kama vipi unaweza kuingia kwenye hii site
Hapo utaweka imei ya simu yako na taarifa zitakazokuja ni vyema ukapiga picha ukaambatanisha hapa ili tuone tunaweza kutatua vipi hili tatizo lengo la kuweka imei hapo ni ili tujue kama ina FIM baada ya hapo tutajua cha kufanya

Pia download hii ila sio kwa umuhimu sana kama hatujajua kama ina icloud ama haina

Ili ku download hii inahitaj kwanz uwe mfuasi kwa channel yao ya youtube fnya hivyo

Free iPhone 4, 4S Bypass iCloud Activation Lock | Tethered Solution
Endapo tutaendelea na kujua details kuhusu hichk kifaa chako kina hali gani utafungua hii file kwenye pc yako na ku connect simu tutaendelea

Kwa umuhimu weka picha ya kinachoendelea ili wanaoulizwa kuweza kuelewa vizuri jinsi ya kujibu swali lako
 
Back
Top Bottom