iphone is disabled connect to itune

iphone is disabled connect to itune

WIMICKY

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
1,439
Reaction score
1,575
habari wakuu kuna i phone inaandika km hivo hapo juu je niki connect itune itarudi km awali nina wasi wasi kuwa itahitaji i cloud na simu yenyewe nimeziwa mtaani hata i cloud sijapewa je kuna msaada naweza upata hapa au niachane nayo
 
Mkuu ulinunuaje simu yenye iCloud na bila kupewa details/credentials zake? Hapo ni msala mkubwa ki usalama kwanza hauko safe labda simu imehusika kwenye matukio ya kiharifu ukaja kushikishwa wewe kesi.

Pili kutoa iCloud inategemeana na matoleo ya iPhone. Nafikiri kutoa iCloud ki ujanja ni mwisho iPhone 4 kushuka chini napo zitakutoka fwedha mingi na kuna possibility simu ikawa kama tablet tu kwamba haitosoma network sijajua mpaka sasa labda wajuzi wananyofoa mpaka hizi recently versions.
 
iphone 4 line inasoma so napokea tu ila siwezi fanya lolote
 
habari wakuu kuna i phone inaandika km hivo hapo juu je niki connect itune itarudi km awali nina wasi wasi kuwa itahitaji i cloud na simu yenyewe nimeziwa mtaani hata i cloud sijapewa je kuna msaada naweza upata hapa au niachane nayo

ukikonect na itunes itadai icloud na pia ukisema ui restore kupitia itunes itaanza kufanya software updates [ ina upgrade firmware ios ]

japo hizo icloud znondolewa kwenye simu na zina price zake kulingana na simu .

Binafsi niliagiza UK imekuja na icloud afu jamaa hakuwa active tena mm nimebypass tu. nafikiria niiremove icloud mazima soon.

ukibypass inakua haipigi simu ila functions zingine zoote inafanya utatumia wireless. ukihtaji kuirestore bila ku upgrade ios tumia 3u tool
 
Huyu ali buypass hiyo simu hakukueleza vizuri uki baypass icloud kuna baadh huwa zina zima network sasa kuna namna ya kurudisha network
 
Kuanzia Iphone X kushuka chini ndio icloud inatoka ku baypass ni kama unaidanganya lakini sidhan kama unaweza ku update au ku restore
 
habari wakuu kuna i phone inaandika km hivo hapo juu je niki connect itune itarudi km awali nina wasi wasi kuwa itahitaji i cloud na simu yenyewe nimeziwa mtaani hata i cloud sijapewa je kuna msaada naweza upata hapa au niachane nayo
Kama hauna icloud ujue mpaka uibypass kwa kulipia Ndo isome line upya,na hapo nazungumzia iphone 6 na 6 plus baas,kuanzia iphone 6s yenye ios 15 hautaweza kabisa kuitumia

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
 
ukikonect na itunes itadai icloud na pia ukisema ui restore kupitia itunes itaanza kufanya software updates [ ina upgrade firmware ios ]

japo hizo icloud znondolewa kwenye simu na zina price zake kulingana na simu .

Binafsi niliagiza UK imekuja na icloud afu jamaa hakuwa active tena mm nimebypass tu. nafikiria niiremove icloud mazima soon.

ukibypass inakua haipigi simu ila functions zingine zoote inafanya utatumia wireless. ukihtaji kuirestore bila ku upgrade ios tumia 3u tool

na ambayo imekuwa bypassed haina mtandao,vipi ukiiupdate kupitia itune inafungwa tena??

6s ina 14.7
 
usiupdate mkuu. subiri developer waki jailbreak ios 15 ndiyo uje uiinstall, uijailbreak then uibypass

sijafuatlia kama ios 15 tyri wametafta namna ya kujailbreak. na ukitaka ku update kwa urahisi usitumie itunes

tumia 3u tool. itasuggest ios. then kaitafute iyo firmware na uidanload kupitia idm [ kwa nini idm ? firmware zina ukubwa mkubwa idm ina uwezo wa kuendlea kudanload ilipoishia had ikamaliza] so bdae utaiinatall kupitia 3u tool bila shida.
 
Bnafsi nina 6s plus ilkua bypassed na ikafungwa find my phone hivyo haiwezi kutumia ICloud tena, hofu yangu ni kua inaomba update ya ios 15.1 nawaza niki update haito zingua kweli.?

da usiupdate mkuu.
 
Back
Top Bottom