iPhone ambazo hazitopekea iOS 17

iPhone ambazo hazitopekea iOS 17

Kama hadi leo hii unanunua simu sababu ya Wall Paper Options basi wewe bado hujakomaa au ni mtoto kiakili

Ubora wa simu unakamilishwa na hivo vitu mkuu embu waangalie samsung daily wanakuja na UI zao apple hawabadiliki
 
Mimi kwenye simu cha kwanza ni freedom na iwe na peformance nzuri, security ni kipaumbele cha mwisho kabisa kwangu kwa sababu sionagi tofauti kwa watumiaji wa Apple ambao simu zao zina security kubwa, naona wote ni vilevile tu.
Android ndio unyama kwangu

Ww ni moja ya watu ambao unajua taste yako iko wapi. Security si kipaombele chako ila flexibility , is why android.
Wale wa ios wana kipaombele tofauti kabisa
 
Saivi hdi 250k kwa mtu zitashuka sana tu itafikia 350 dukani tusubiri huu mwaka ukatike.
Nyie mtakuja kuuziwa mabomu[emoji1787][emoji1787]
Kwa bajeti ya 250K kama ni simu used nashauri
Google Pixel 3, 3A, 3A XL au Pixel 3XL. Pia kuna Sony Xperia XZ2 ila sio iPhone X
 
Saivi hdi 250k kwa mtu zitashuka sana tu itafikia 350 dukani tusubiri huu mwaka ukatike.

Bora achukue kwa mtu kwa 250 maana ataahinishiwa kila kilicho pungufu na mhusika,kuliko kwenda kuambiwa chukua hii ni mpya unakuta inachemka ukiwasha data[emoji16][emoji16]
 
Bora achukue kwa mtu kwa 250 maana ataahinishiwa kila kilicho pungufu na mhusika,kuliko kwenda kuambiwa chukua hii ni mpya unakuta inachemka ukiwasha data[emoji16][emoji16]

Saivi kununua simu mkononi eiza muuzaji awe na risiti kama hana basi piga picha kitambulisho chake cha nida au cha kupigia kura hapo kazi umemaliza
 
Back
Top Bottom