IPhone 8 plus 200k

IPhone 8 plus 200k

Mosesrex

Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
93
Reaction score
52
Nahtaji pesa ya fasta, Used 2 moths, unapewa kila kitu mpaka box,
Location, Dar
Kama unazani ni kopi au kasha tukakabidhiane POLISI ili usiwe na wasi wasi
 
Mkuu ilete mkoani uku utauza fasta hawajastuka
 
Mkuu pitia uzi huu 👇🏾👇🏾👇🏾
Kuna wateja walihitaji iPhone 6s Plus kwa 250k hadi 400k nikawakatalia, wacheki PM uwauzie hiyo iPhone 8 Plus ambayo iko juu zaidi ya 6s Plus
 
🤣🤣🤣 duh baba Jesca legeza tunapoelekea siko
 
Kama una uhakika na ulichokiandika ni PM namba yako kesho tuwasiliane.
 
Back
Top Bottom