IPHONE 7 PLUS

IPHONE 7 PLUS

Yani ndo utajua hujui yani

Wewe jamaa si mtu mzuri umesababisha mimi nisipate msaada hivyo kunikosesha zaidi ya 50,000/ maana naona kila mtu sasa anaogopa kutoa msaada!!!Na hapa ni mjini umelaza watoto wangu njaa bure kabisa. Maana wengi mafundi hukimbilia hapa JF kupata au kuongezea ujuzi!!!! Haya bwana aksante kwa kuuvuruga uzi wangu bure!!!.
 
Kwa majina yako utakuwa ni mlokole au msabato na huna mambo mengi
 
Washa data ingia apo kwenye apple ID then verify utadaiwa passcode/ passwords ya apple id yako then safi simple sana
 
Back
Top Bottom