Iphone 7 balaa

Una uhakika na unachokiongea au unatimiza wajibu , android ipi uliyotumia ikawa inafanya hivyo....au ndio Yale Yale hata task ya simu yako hujui inapatikanaje.
nilkua sijui task manager ya iphone sio pumba unazoziongea mm niltumia samsung trend na nilkua nikifungua miapps mingi inaanza stack au kama sibyo waulize watumiaji wa tecno pumba ww
 
Niliwahi kua na Iphone3gs ilikua na 16gb nilikua na album 9 za miziki vitabu vingi sana lakini haikuwahi kujaa sasa 128gb kujaza kwa vitabu hata ukiwa na vitabu vya mb 50, 200 haiwezekani kujaa...
 
Iphone yang inatatizo la kuzima na kuwasha na wakat mwingine ina display rangi nyekundu kwa kioo

Ina tatizo gani kwa wazoefu wa izi sim na nini cha kufanya
 
Iphone yang inatatizo la kuzima na kuwasha na wakat mwingine ina display rangi nyekundu kwa kioo

Ina tatizo gani kwa wazoefu wa izi sim na nini cha kufanya

Inajizima na kujiwasha yenyewe
 

Asante ngoja niijaribu
 
Ishatoka mbn ni mil 3 na ushee
 
Hizi simu sijawahi kuzipenda sijui kwanini naiona sio user friendly ,uhangaike na Itunes ,Bluetooth yake sijui ina kazi gani ,Shape zake kuanzia Iphone 5 kurudi nyuma hazinivutii

Labda hii 7 itakua tofauti
 
Kama unataka more space jiunge na google drive, Dropbox au one drive na uhifadhi vitu vyako huko
Kwa mtu anayejali efficiency, security, cost na cobtrol hizo online services si solution zuri kama unaweza juwa na solution la sd card.

Suppose umeweka mafaili yako kweny hizo services, halafu umefika sehemu huna access na mtandao na ma file yako yako huko, utafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…