Iphone 6s plus

Iphone 6s plus

Cas-9

Member
Joined
Jan 2, 2017
Posts
39
Reaction score
28
Nauza used Iphone 6s plus 64gb iliyonunuliwa Europe. Imetumika kwa takribani mwaka na nusu. Cover ya USB cable imekatika kwa juu (angalia pichani) but yafanya kazi kama kawaida. Pata simu original pamoja na accessories zake (charger na ear phones) kwa 975,000.
IMG_20161223_080811.jpg
IMG_20161223_080924.jpg
IMG_20170416_173952.jpg

IMG_20170416_164532.jpg
IMG_20170416_164557.jpg

Ikiwa ktk housing (picha No. 4 & 5).
IMG_20170416_164711.jpg
IMG_20170416_164639.jpg
IMG_20170416_164653.jpg
IMG_20170416_164702.jpg
 
Kula laki 5. Fasta fasta. Baada y kuikagua.
 
700K 0786371108
Lete 950K, kumbuka product zinazopelekwa/kuuzwa Europe ni za quality ya juu zaidi. Na ndio maana bei za simu Europe ziko juu zaidi kuliko bei za simu aina hizo hizo Afrika(Tz).
 
Mh huwaga wanaSema hizo used ziki jilock hzo ni kazi sana ku unlock
 
Lete 950K, kumbuka product zinazopelekwa/kuuzwa Europe ni za quality ya juu zaidi. Na ndio maana bei za simu Europe ziko juu zaidi kuliko bei za simu aina hizo hizo Afrika(Tz).
iPhone ya Europe, ya China, ya USA na SA quality ni ileile..... Kinachofanya kuuzwa bei kubwa Europe ni kodi....

Tanzania kuna mianya mingi ya ukwepaji kodi....
 
ni pm nikuuzie yangu iko bomba kuliko hiyo….. 6 plus, 64gb space grey
Duh! Yaani unalazimisha kufananisha Iphone 6s Plus 64 GB na Iphone 6 Plus 64 GB!
Kwa wajuvi wa mambo watakushangaa hata bei zake zikiwa mpya zatofautiana hasa. 6s Plus ni ya juu zaidi ya 6 Plus. Embu google kidogo upate somo na ucheki hata bei zake zikoje.
 
Lete 950K, kumbuka product zinazopelekwa/kuuzwa Europe ni za quality ya juu zaidi. Na ndio maana bei za simu Europe ziko juu zaidi kuliko bei za simu aina hizo hizo Afrika(Tz).
Wewe bwana wewee acha saundi. iPhone ni iPhone tu.
 
Huo waya wa charger mbona mweusi sana..ulikuwa unachajia kwenye mkaa au majivu..jaribu kuwa msafi bwana..
 
Back
Top Bottom