Okay...shukrani kwa tahadhari. Nina simu nyingine ambayo niliinunua mpya na nimetunza box na risiti itabidi boxi lake nilichanechane na risiti niifiche katikati ya vitabu!