IPHONE 6S i.o.s 12.1.4

Echolima

JF-Expert Member
Oct 28, 2007
3,815
2,000
Nina Iphone 6s i.o.s 12.1.4 imetoka na nimejaribu kuipakua inagoma naomba msaada tafadhali
 

Rooney

JF-Expert Member
Jan 16, 2015
3,585
2,000
Nina Iphone 6s i.o.s 12.1.4 imetoka na nimejaribu kuipakua inagoma naomba msaada tafadhali
Ingia ipsw,download file la io 12.1.4 lnaloendana na simu yako,rudi itunes,wwka simu recovery mode,itakuja option ya reset au update,bonyeza shift alaf click update,utachagua file ulilo download,ltaanza kuji extract taratibu,we vuta kiti na lunch,ukmliza kula kila k2 kmemalizika

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom