iPhone 6 na 6plus Mpya zinauzwa(Gold and Grey Color)

iPhone 6 na 6plus Mpya zinauzwa(Gold and Grey Color)

umesema una tumia S8 si ndio. naomba kujua ulinunua mpya au na pia vipi kuhusu swala la water proof
Nilinunua mpya 1.4M ni water proof na huwezi ilinganisha na takataka za mleta mada
 
Nilinunua mpya 1.4M ni water proof na huwezi ilinganisha na takataka za mleta mada
Daah Bro shida kila ki2 mmezoea open dialogue sijui mada,,m sijaleta mada m nimekuja kutafuta vichwa we ni mjanja na unaona feki kausha,,sio mambo ya kushoboka mwanaume akiwa anatafuta hela.
 
Haya yote uloandika yanahusiana nini na nilichoandika? Huwezi muuzia mtu IPhone 6 plus used tena finger print failure kwa 800 huo ni wizi!!

Halafu unaandika ki kike mno kama we ni ME basi wana kupindua pindua
Haah shida yote ya nn pale juu kwenye thread nlikosea badala ya kuandika 6s plus nkaandika 6 plus ,,that’s it na kwenye maelezo hapo nimeeleza kuhusu bei mpk imefika 800k
 
Back
Top Bottom