iPhone 6 na 6plus Mpya zinauzwa(Gold and Grey Color)

Hehe so unakiita ki IPhone 8 hapohapo wewe waona outdated IPhone 6 ni big deal? Unaumwa wewe!! Hiyo bei kawaokote wakoromije aisee too high for that shit!!
Kama unahisi umeshiba na kuanza kutalk shit out of nowhere,,I can deal with yu all day long,,so vidole tu vinakuwasha
 
Wewe umekaita ka IPhone 8+ halafu hapo hapo unaona outdated brand ni big deal kiasi cha kutaka wafunga watu kamba!!

Acha utapeli
 
Sumsung S8 si bado haijazinduliwa inazinduliwa mwezi wa pili mwaka huu..the first smartphone with more than 500GB..au majina yanafana.
Mkuu tupo na S8 inayotarajiwa kuzinduliwa ni S9 mkuu.... ndo naisubiri kwa hamu!!
 
We jamaa Lusungo ndio watu wale wanaosubiri watu wanunue muanze kusema mm hiyo naipata bure cjui dubai,,Mara hiyo fake coz ni nzito,,mara ooh nna kaka ang ananilteaga bure kutoka Dubai ,,so hunisumbui
Kazi tu kuharibia watu biashara,,ungekuwa umenunua cm kwang hapo sawa ndio uwambie watu nauza vitu feki.
 
Mkuu mbona unajistukia? Wapi nimesema unauza vitu feki? Mi nimesema bei yako haina uhalisia usipindishe mada
 
jamani kati ya iphone x na 8+ vs samsung galax S8 ipi iko poa kwa matumizi ya vitu vingi
 
Mkuu tupo na S8 inayotarajiwa kuzinduliwa ni S9 mkuu.... ndo naisubiri kwa hamu!!
umesema una tumia S8 si ndio. naomba kujua ulinunua mpya au na pia vipi kuhusu swala la water proof
 
Mkuu mbona unajistukia? Wapi nimesema unauza vitu feki? Mi nimesema bei yako haina uhalisia usipindishe mada
We jamaa IPhone 6s Plus 16 GB nauza 1.1mil ss hiyo inatatizo la fingerprint imedrop 300k ss hapo shida nn ,,,uhalisia gan unataka au unahisi kila used phone inakuwa na dents au kioo kupasuka,,mashine imenyooka that’s why nauza 800,000/- na ishachukuliwa ,,usidhan kila mtu Ana access na mambo ya iPhone kirahisi au kujua bei zake ,,ndio maana nkasema we ndio wale wa kila kitu mtu akinunua we n kuja kujishaua eti aah umenunua sh ngap ,,we umepigwa ,,kila Ki2 unawaza kushindana kuonekana we mtt wa mjini,,,endelea ivoivo,,inaonekana ht demu wako unagongewa kukazania mambo ya kupata latest phone tu
 
punguza hasira kwanza. kwani S8 mpya ni shilingi ngapiii maana una deal na hizo mambo
 
We jamaa IPhone 6s Plus 16 GB nauza 1.1mil ss hiyo inatatizo la fingerprint imedrop 300k ss hapo shida nn ,,,uhalisia gan unataka au unahisi kila used phone inakuwa na dents au kioo kupasuka,,mashine imenyooka that’s why nauza 800,000/- na ishachukuliwa ,,usidhan kila mtu Ana access na mambo ya iPhone kirahisi au kujua bei zake ,,ndio maana nkasema we ndio wale wa kila kitu mtu akinunua we n kuja kujishaua eti aah umenunua sh ngap ,,we umepigwa ,,kila Ki2 unawaza kushindana kuonekana we mtt wa mjini,,,endelea ivoivo,,inaonekana ht demu wako unagongewa kukazania mambo ya kupata latest phone tu
Haya yote uloandika yanahusiana nini na nilichoandika? Huwezi muuzia mtu IPhone 6 plus used tena finger print failure kwa 800 huo ni wizi!!

Halafu unaandika ki kike mno kama we ni ME basi wana kupindua pindua
 
Back
Top Bottom