Yahya Asaa
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 244
- 28
- Thread starter
-
- #21
Haina ugumu wowote labda kama unaitumia huku ukiwaza android wakati ios haiwezi kuwa android.Iphone ngumu kutumia wee ila raha huja kwenye securty
Haina ugumu wowote labda kama unaitumia huku ukiwaza android wakati ios haiwezi kuwa android.
Ni sawa uwe na mpenzi mpya huku ukitaka awe na tabia kama za mpenzi wako wa zamani wakati ni watu wawili tofauti...
Ios ni closed source na android open source.Hivi tofauti ya hizi platforms ziko wapi iOS na Android? Mimi naona marueue tu haya mambo yanapoongelewa.
Mnisaidie kuyaelewa kwa lugha nyepesi tafadhali
nunua kitu unachoweza kukikontro cyo kikukontroIos ni closed source na android open source.
Android available kwa any manufcturer wa simu anaweza kui customize anavyotaka wakati ios ni ya apple tu hakuna mwingine anayeitumia
ios ina limitations nyingi kwa user ni ngumu sana ku access system files tofauti na android ndiyo maana simu yabandroid unaweza igeuza geuza unavyotaka.
watu wanasema iphone huwezi download sijui videos na music, lengo la kufanya hivyo ni kuzuia piracy ndiyo maana anataka u download vitu toka reliable sources japo unaweza weka app ukadownload lakin utaziplay kwenye hizo apps huwezi kuzikut kwenye inbuilt music player au video player.
Mtu ananunua kitu bila kujua anataka nini mwisho wa siku anaanza lalamika mbona iphone haifanyi hivi wakati android inafanya.nunua kitu unachoweza kukikontro cyo kikukontro
Heee hivi team IOS MNA NINI mimi nahisi hizi kampuni kubwa zenye Os zao binafsi wana siri flani maan hata mm ukiniambia kuhama window nakua nachizi bora uniambie tu ongeza simu nyingine ya pili yenye Os tofautiMtu ananunua kitu bila kujua anataka nini mwisho wa siku anaanza lalamika mbona iphone haifanyi hivi wakati android inafanya.
Hiyo ni ios mazee sio android
Ios ni closed source na android open source.
Android available kwa any manufcturer wa simu anaweza kui customize anavyotaka wakati ios ni ya apple tu hakuna mwingine anayeitumia
ios ina limitations nyingi kwa user ni ngumu sana ku access system files tofauti na android ndiyo maana simu yabandroid unaweza igeuza geuza unavyotaka.
watu wanasema iphone huwezi download sijui videos na music, lengo la kufanya hivyo ni kuzuia piracy ndiyo maana anataka u download vitu toka reliable sources japo unaweza weka app ukadownload lakin utaziplay kwenye hizo apps huwezi kuzikut kwenye inbuilt music player au video player.
Naam! Na hapo ndio tunapokosea.Mtu ananunua kitu bila kujua anataka nini mwisho wa siku anaanza lalamika mbona iphone haifanyi hivi wakati android inafanya.
Hiyo ni ios mazee sio android
Mods Post namba 7 na namba 8 anazozizungumzia ni ID tofauti, cc JamiiForumshahahaha hiyo post no 7 na post no 8 ndio nimeleza nadownlod movies kwa kutumia itune co nieke wazi halafu na ww ukazisome vizuri uckurupuke
mm cjaona neno itune kwenye post yangu