habari zenu wakuu. natafuta simu tajwa hapo juu iliyo na specifications zifuatazo. iwe Brand New Sealed kwenye box, 16GB Capacity, color Silver, Factory Unlocked, na ya bei nafuu. kama unayo au unaweza kuagiza kutoka nje kwa bei nzuri tafadhali tuwasiliane ASAP kupitia 0783115545..