iphone 5s yaleak baadhi ya features. Next generation apple smartphone


Umesema Kweli tupu kwa watu wa IT android inafaa especial mimi hivyo kila mtu na mpenzi yake

Ila kuna latest news ambayo si nzuri kwa w8
Ni kwamba Google Has No Plans To Build Apps For Windows Phone 8
Sosi :
http://www.geeky-gadgets.com/google-has-no-plans-to-build-apps-for-windows-phone-8-13-12-201/

Mchana mwema


Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2
 
kumbe walikuwa na wp7.5 hihi haya bwana ngoja nideclare interest mim binafsi nokia zcpend coz walikuwa hawabadiliki na mitechnology yao bt ila microsoft nawakubal labda nitawapenda tena ngoja niishike mkononi

sisi wabongo ndo tunapenda s60v3 tunatumia nokia za zamani wakati samsung ameleta latest phone zote bongo thats why nokia zinaonekana za kizamani. Windows phone zina apps chache japo si chache kihivo zipo 120,000 now against 700,000 za android but zinagrow faster zaidi.

Kama unataka kutest tafta windows phone 8 uone na user interface yake ndo utajua simu sio app launcher tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…