iPhone 5c ina searching tuu

iPhone 5c ina searching tuu

Mr muhuni

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2014
Posts
1,304
Reaction score
1,268
Wakuu Kwema nahitaji msaada wa haraka simu yangu iphone 5c inaseaching tuu japokua sim card iko poa nimejaribu kubadilisha sim card tatizo bado lipo hata nikitoa sim card bado tuu ni searching.... tuu
IMG_0396.JPG
 
Jaribu kuhard reset.. Zima simu halafu hold home button na power button hadi iwake.

Isipoleta fanya kureinstall au upgrade Ios tatizo litakuwa solved.
 
Duuh hata wazee wa iPhone mnalia tena? Nilidhani ukiwa na iPhone shida za cm kwisha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Matatizo ya simu yapo Kwa kila aina ya simu zinatifautiana tu kila moja na tatizo lake.Kama Mimi natumia techno w4 unaenda mwaka wa pili bado nikama mpya inafanya kazi safi ila sio kila tecno ni sawa na hii ukibahatika kupata simu kampuni yoyote ukikupa ufanisi mzuri shukuru but kila simu na changa moto zake
 
Wakuu Kwema nahitaji msaada wa haraka simu yangu iphone 5c inaseaching tuu japokua sim card iko poa nimejaribu kubadilisha sim card tatizo bado lipo hata nikitoa sim card bado tuu ni searching.... tuuView attachment 771849
Saanyingine uwelewa wakutumia simu kama inavyotakiwa pia unachangia labda kuna mahala umeingia ndo mana iko hivyo.Watuwengi wanaponda simu fulani sio nzuri kumbe yeye ndo ajui matumizi pole sana ngoja wataalamu wa iPhone wakusaidie.
 
nenda kwenye network setting then urestart ni kawaida sn kwa tukio ilo
 
Kama umedondosha simu, inawezekana waya wa antenna umechimoka. Fanya Network reset.
 
Jaribu kuhard reset.. Zima simu halafu hold home button na power button hadi iwake.

Isipoleta fanya kureinstall au upgrade Ios tatizo litakuwa solved.
Mkuu io ya kwanza imefail aise
Ya pil sijaelewa vizur huku naona software update ni pia inaniambia natumia latest
 
Mkuu fungua setting >General >reset (reset network setting)
Tatizo likiendelea peleka kwa fundi inaweza kua hardware faulty
 
Hapo kwenye kudondoka nahisi coz nilimkuta nayo mtoto but ilikua LOCKED
Haijaaliishi kama ilikuwa locked, inawezekana imedondoshwa ndani ya simu kuna cable ya antenna ambayo inaunga na motherboard, inawezekana kuwa imechomoka. kwanza jaribu kufanya Networ reset ukiona bado, kuna big chance ni hio antenna
 
Back
Top Bottom