mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,652
- 1,238
Nimetumiwa iphone 4 na rafiki yangu,lakini tatizo ni kwamba haisomi laini za hapa nyumbani,kitu ambacho nilikifanya ni kureset all factory settings nikizani kuwa itasolve hilo tatizo,sasa baada ya kufanya hivyo inaniomba kurestore kwenye itunes nimefanya hivyo lakini inafikia sehemu inataka uinsert sim card,nikiinsert hizi za kwetu inaniletea msg kuwa sim card not compartible,kwahiyo sasa hivi siioni hata menu wala siwezi ku access kitu chochote,coz awali nilikuwa naweza kuitumia kwa kusikilizia muziki,kamera nk,tatizo lilikuwa laini tuu ndio hazisomi,msaada wenu wakuuu!!!