Iphone 4s Msaada

Iphone 4s Msaada

Bethania

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2013
Posts
339
Reaction score
130
Naombeni msaada kuondoa tatizo hili kwenye simu yangu ukiweka line unaweza kuuliza salio lakini huwezi kupiga wala kupigiwa mwenye ujuzi wa hili anisaidie
 
Naombeni msaada kuondoa tatizo hili kwenye simu yangu ukiweka line unaweza kuuliza salio lakini huwezi kupiga wala kupigiwa mwenye ujuzi wa hili anisaidie
tatizo limeanza lini? umenunua kwa mtu hivi karibuni? ipo kwenye IOS ngapi? tatizo ni calls tu au simu haifunction completely?

1. Kama tatizo limetokea ghafla jaribu kuReset Network Settings
odmr.jpg
 
Back
Top Bottom