iPhone 4s 16GB iCloud Locked Nifanyaje ?

iPhone 4s 16GB iCloud Locked Nifanyaje ?

danione

Member
Joined
Oct 26, 2011
Posts
58
Reaction score
5
Heshima Kwenu wana JF..

Nina iPhone 4s iLa inadai iCloud Acount kuweka Apple ID pamoja na Password ila zote sizijui naomba msaada wenu kama kunauwezekano wa kuremove account ya iCloud.

Niko Arusha Kama kuna Mtu anauwezo
 
Attachments

  • Apple ID.png
    Apple ID.png
    11.3 KB · Views: 163
Kwa hio unataka tukusaidie kukumbuka apple id yako na passowrd?

Hapana Nachotaka nikutoa hiyo acount na kuweka ingine hiyo account ni ya mtu alikuwa anatumia Nje ila aLinitumia hiyo simu tangia anitumie sijawa itumia bcz inaishia kila siku kwenye kuchaguwa lugha pamoja na kuweka Apple ID
Nilisha wai kumtumia email anitumie detels Lakini ajawai nijibu mail zaidi ya tatu
 
nothing you can do about it until you get tha details
 
Kama ulinunua umeingizwa MKENGE huwezi kuitoa hiyo icloud A/c ila kama kuna mtu amekupa mwambie akupe zile details umalize tatizo bila hivyo umekwama.
 
Hapana Nachotaka nikutoa hiyo acount na kuweka ingine hiyo account ni ya mtu alikuwa anatumia Nje ila aLinitumia hiyo simu tangia anitumie sijawa itumia bcz inaishia kila siku kwenye kuchaguwa lugha pamoja na kuweka Apple ID
Nilisha wai kumtumia email anitumie detels Lakini ajawai nijibu mail zaidi ya tatu

Mrudishie mwenye simu atakusaidia kuifungua
 
Back
Top Bottom