450000 mkuu....pm Kama vp....
mmh! 450 wengine tutaishia kuzisikia tu.
Wakuu nnayo Iphone 4 yenye 32gb nataka kubadilishana na Iphone 5 niongeze na Pesa juu,...simu ipo kwenye halo nzuri Sana..ambaye yupo interesting anipm tufanye biashara...me nipo Arusha..