Iphone wapo majuu marekani na hata kama waenda ulaya twategemea utapata kwa bei ya kueleweka kuliko bongo labda uwe wataka ya mazabe.
ulichoandika ni sawa na utake kununua simu ya mchina leo na kesho waelekea huko huko.
Mpaka nacheka,picha zote hukuziona mpaka hii ndio ikakufurahisha na ukaona utufurahishe?Anyway lakini hawa jamaa wana agents mpaka humu,tutalia tukisikia na wewe umetobolewa macho ndg yetu mwana JF!Halafu ndio unakwenda kwao?:A S cry:
Majuu unaelekea nchi gani? mimi naishi majuu naweza kukuletea huko maana nakuja mwezi june. Tuwasiliane kwa PM.
Lakini kwa utafiti wa haraka haraka, huwezi kupata iPHONE 4 kwa bei hiyo aslani.
Majuu unaelekea nchi gani? mimi naishi majuu naweza kukuletea huko maana nakuja mwezi june. Tuwasiliane kwa PM.
Lakini kwa utafiti wa haraka haraka, huwezi kupata iPHONE 4 kwa bei hiyo aslani.