T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,296
- 44,756
Mzee una Find X3 Pro? Aisee Oppo wana bei ila simu nzuri sanawekeni picha acheni ubishi,na mimi nitaweka ya mchina wangu,ya OPPO FIND X3 PRO...kama sijawatoa wote knockout,,,
View attachment 2114311
πππ macho matatu zilipenwa siku hizi kuna six machoSi ile huwawei yetu? Leta zile za iphone macho ma3 π€£π€£
Kwanza uje uniambie umeipeleka wapi π€πππ macho matatu zilipenwa siku hizi kuna six macho
iPhone zinaendaga wapi zaidi ya kuhonga πππKwanza uje uniambie umeipeleka wapi π€
ππππ nazimiaaiPhone zinaendaga wapi zaidi ya kuhonga πππ
kushare mala moja mojaππππ nazimiaa
Hii ya asubuhi sio usiku cos ulishafunga ofisiYa 7
13 jiongeze View attachment 2114609
Mmeshaanza na nlijuaKumbuka zipo fake iPhone 13
Acha ujinga nimekuambia nimefanya comparisonKwa kifupi either hiyo iPhone ni feki au haujui unachokiongea ila unaropoka tu
Mwite ajeHumu ndani hamna mwenye iphone 13?
Nikupe ya saa 1 usiku? πHii ya asubuhi sio usiku cos ulishafunga ofisi
Kumbe una picha?Mimi hiyo 13 sio yangunimekwambia nina picha zake tu
mhhh mkuu iphone yoyote inapigwa uwezo wa camera na samsung ya mwaka mmoja nyuma.
ukichukua x bas itapata tabu kuipiku s7 edge.kwahiyo match nzuri ni note 8 kwa iphone x,ila note 8 kwa iphone 13 hapana,ni uongo.
iphone 13 itakabana na akina 20ultra na note 20.
Nipeni picha za iPhone za saiviView attachment 2114648mhhh mkuu iphone yoyote inapigwa uwezo wa camera na samsung ya mwaka mmoja nyuma.
ukichukua x bas itapata tabu kuipiku s7 edge.kwahiyo match nzuri ni note 8 kwa iphone x,ila note 8 kwa iphone 13 hapana,ni uongo.
iphone 13 itakabana na akina 20ultra na note 20.
Hana hiyo simu, atapigaje? We unadhani kila mtu anaweza kumiliki hiyo Simu??Piga picha saivi uweke hapa kama ushahidi
Jamaa picha za IPhone ningejirushiaje?
πππKumbe una picha?unaweza chukua ya Samsung