IPhone 13 camera hamna kitu

mhhh mkuu iphone yoyote inapigwa uwezo wa camera na samsung ya mwaka mmoja nyuma.

ukichukua x bas itapata tabu kuipiku s7 edge.kwahiyo match nzuri ni note 8 kwa iphone x,ila note 8 kwa iphone 13 hapana,ni uongo.

iphone 13 itakabana na akina 20ultra na note 20.
 
Weka hapa picha zote mbili na sie tuone

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Hata upewe camera nzuri kiasi gani kama hujui kupiga picha vizuri bas itatoka mbaya Tu,lakini mtu mwenye ujuzi mzuri WA kupiga picha hata akiwa na camera mbaya atapiga picha nzuri...Other factors remain constant.
 
Niliivua cava ni IPhone 13

Hapo tu kwenye kuvua kava na kujua ni iPhone 13…Tayari inaonesha hilo ni famba…..ungetuambia uliingia (settings>general >about) kidogo tungekuelewa kuwa hio ni iPhone 13 na hakuna 13 ambayo ni macho matatu macho matatu ni 13pro na 13pro max….huyo kapigwa hakuna iphone 13 hapo huwezi sema eti nilivua kava since iphone haiandikwi nyuma kua ni iphone ngapii
 
iPhone wakiambiwaga sim zao chenga wanamind.. sema jamaa alipata kiiPhone fake
 
🤣🤣🤣🤣 eti jamani? Au alitoa kava kuangalia ni macho mangapi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…