Call m3 Anwar
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 290
- 508
Pixel kwa portrait ndo ana balaa, mfano wewe chukua hiyo pixel 3 yako kalinganishe na tunda xr kisha angalia ipi boraPixel 6 kwa normal picha ni superior kulko iphone, ila kwa portrait iphone 13 pro ni zaid ya pixel, thats the fact
Simu ya milioni 4 na ushee!!
Wengi humu watumishi wa serikali wana tecno na infinix
Wengine wanapiga deiwaka kitaa.
Wenyewe 13 ni walio mamtoni na wadangaji waliotoa jicho moja na kupewa matatu.
rudia kusoma nilichoandika kwanza alafu ndo uje ukoment upyaPicha yenye high contrast inawezaje kuwa picha nzuri?
Hapa ndio mimi natofautiana na iSheeps wengi.
Yaani uache vigezo vya picha nzuri kama Good dynamic range, good white balance, object isolation kwa potrait, minimal or no noise.n.k. uje useme picha yenye high contrast inakuwa nzuri?
Ndo maana huwa nasisitiza hata hiyo latest iphone haiwezi fikia simu hizi kwenye category ya picha
Pixel 6
Realme 60 pro plus
Samsung s21 ultra
Xiaomi mi 11 ultra n.k.
Iphone atashinda tu kwenye video ila siyo kwenye picha kwa hiyo simu.
Tuone Sasa hizo picha zake tufunge mjadalatatzo wewe sio photographer na pia ushazoea tecno na infinix .camera zenye high saturation ,high contrast ,high dust level na zipo sharp.nikwambie tu kwa sisi maphotographer hakuna camera bora kama ya iphone 13
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka pichaiphone upande wa picha nawakubali sana camera zao yani point and shoot yani humiss kitu hicho ndio kimewaahinda samsung samsung inahitaj utulize mkono hata baada ya kupiga , kwa moving object iphon wamewaacha andeoid mbal na uzoef na hiz sim kwa sasa namilik hiz iphone 11 na note 9 naona tofaut kubwa, ukitaka ifaid sim kwa mazingira yetu better samsung ila anzia s10 + kwenda juu, ifon kama huna mambo meng itakufaa maana ina limit kibao mf kuweka tu ringtone au kudowwnload video process ndef
Umesahau wanao uza viwanja😁 na wa mirathiSimu ya milioni 4 na ushee!!
Wengi humu watumishi wa serikali wana tecno na infinix
Wengine wanapiga deiwaka kitaa.
Wenyewe 13 ni walio mamtoni na wadangaji waliotoa jicho moja na kupewa matatu.
Usitunyanyaseee puliiiiiizzzzz.View attachment 2444424
Ngoja niwafufulie uzi na hii aitel
PlainView attachment 2121066
View attachment 2121067
Nimepiga kwa kutumia iPhone 11. Hapo ni Pangani - Tanga
😆Usitunyanyaseee puliiiiiizzzzz.
Bila kuona comment zao, uzi unakosa mashiko?huu uzi mpaka muda huu hauna coment ya Chief-Mkwawa wala Island.
hapo ndo ilipo battle ya iphone vs other phones mkuu.Bila kuona comment zao, uzi unakosa mashiko?