IPhone 13 camera hamna kitu

Pixel 6 kwa normal picha ni superior kulko iphone, ila kwa portrait iphone 13 pro ni zaid ya pixel, thats the fact
What are you talking?

Hizo picha nilizopost umezielewa vizuri.

Unasema Iphone ni nzuri kwa potrait wakati hapo unaona cleary kabisa iphone imeshindwa kuisolate Object.(kutofautisha glass na mazingira mengine).

Anakuwaje zaidi ya pixel?

Hizi takwimu mnazitoa wapi?
 
Mpaka leo tarehe 15.02.2022 hakuna aliejitokeza kuleta picha ya iphone 13 basi humu JF hakuna mwenye hio simu...
Simu ya milioni 4 na ushee!!

Wengi humu watumishi wa serikali wana tecno na infinix


Wengine wanapiga deiwaka kitaa.

Wenyewe 13 ni walio mamtoni na wadangaji waliotoa jicho moja na kupewa matatu.
 
Simu ya milioni 4 na ushee!!

Wengi humu watumishi wa serikali wana tecno na infinix


Wengine wanapiga deiwaka kitaa.

Wenyewe 13 ni walio mamtoni na wadangaji waliotoa jicho moja na kupewa matatu.

the hand of the queen kasema
 
Hyo ni iphone 13 ya kawaida i guess
 
tatzo wewe sio photographer na pia ushazoea tecno na infinix .camera zenye high saturation ,high contrast ,high dust level na zipo sharp.nikwambie tu kwa sisi maphotographer hakuna camera bora kama ya iphone 13

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatzo wewe sio photographer na pia ushazoea tecno na infinix .camera zenye high saturation ,high contrast ,high dust level na zipo sharp.nikwambie tu kwa sisi maphotographer hakuna camera bora kama ya iphone 13

Sent using Jamii Forums mobile app
Picha yenye high contrast inawezaje kuwa picha nzuri?

Hapa ndio mimi natofautiana na iSheeps wengi.

Yaani uache vigezo vya picha nzuri kama Good dynamic range, good white balance, object isolation kwa potrait, minimal or no noise.n.k. uje useme picha yenye high contrast inakuwa nzuri?

Ndo maana huwa nasisitiza hata hiyo latest iphone haiwezi fikia simu hizi kwenye category ya picha

Pixel 6

Realme 60 pro plus

Samsung s21 ultra

Xiaomi mi 11 ultra n.k.

Iphone atashinda tu kwenye video ila siyo kwenye picha kwa hiyo simu.
 
Kwahyo wakishua ndo hauziwi simu feki??
 
Na ukiangalia weka resolution ya 2160p sio 448 au 720 au 224
 
Ehehehe Hivi hio pixel 7 unajua itatoka lini? Yaani utoke pixel 3 uhamie 6 pro, Umeshinda biko nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…