IPhone 13 camera hamna kitu

Acha zako, walioanza kutoa refresh rate kubwa kwa flagship ni oneplus 7 pro ww

Hii simu aisee was the best, kwanza haikuwa na punch-hole ilikuwa na pop up cam..display murua, OP hapa walitengeneza kitu.. binafsi hii ni one of my favourite design since smartphones, well ukitoa Note 20 ultra sabab ya mahaba binafsi
 
Acha wivu kaka, apo mpinzani pekee ni pixel ila hao wote ni bure, yani unaweka adi Xiaomi

Watu wengi wanaoziponda apple hawajawah zitumia
Hiyo Xiaomi niliyotaja hata hujui.

Kuna mtu humu ndani tulishabishana sana nikamletea video ya Realme X60 pro plus vs Iphone 12 camera test. Alibadili mind yake.
 
Wewe umewahi kumiliki hizo simu nilizokutajia hapo?

After all huenda nabishana na mtu ambaye hajui quality ya picha unaangalia vitu gani.
Nishawah miliki s6,s8,s9 na note8 kwa pamoja, baadae pixel 3 sahv nataka niingie pixel7 au 6pro kama ikishindikana, ila ndugu zangu ni wazee wa iphones, mi sizipend maana hazian uhuru na hazitaki mambo ya kujidownloadia movies ovyo na apps za kimageuzi,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…