Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,642
- 11,139
Leo katika pitapita zangu kwenye WhatsApp status nikakutana na video moja ikionyesha jinsi simu aina ya iPhone 11 Pro kutoka Apple, wenyewe wanaiita macho matatu ikiwaka kwenye OS ya Android. Sasa kwenye hiyo video zinasikika sauti za wadada wawili wakiwa wanaongea juu ya simu hiyo huku wakilalamika kwanini haileti neno Hello baada ya kuwaka, nilipoiona kwanza nilicheka sana nikajua tayari mchina ashaingiza bidhaa sokoni.
Nilichogundua ni kwamba mchina kaipiga design ileile ya bidhaa original kiasi kwamba huwezi kujua na ndani imepigwa Operating System ya Android ila sasa ili uingie kingi vizuri imepigwa Boot Animation ya Apple [emoji23][emoji23][emoji23] hapa nikakumbuka kipindi hicho niko O-Level nina Tecno P5+ yangu nilitaka kuweka Custom ROM ya Apple ikashindikana nikaipiga boot animation ya Apple nikawa najiona namiliki tunda kabisa.
Hawa wadada inaonyesha huu ni mzigo wa dukani maana inaonekana kila box wanalofungua mzigo ni huohuo na kinachoumiza lazima wameuziwa bei sawa na iPhone 11 Pro.
Inaonyesha hawa wadada hawana information vizuri maana wao ili kujua ni iPhone original walikaa kungojea iandike Hello, mchina mshenzi nyie ngoma ikaleta Android is starting. [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app