Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
๐ฏ๏ธ Moja kati ya simu nzuri iliyotoka mwaka 2019 ni hii simu ya Iphone 11 Series, ni simu nzuri yenye Muonekano bomba, kamera nzuri, ufanyaji kazi wa kipekee unaopelekea simu bado kuwa na Thamani kwa mwaka 2025.
๐ Unajua kwanini??
๐ฐ Processor yake ya A13 Bionic bado ina uwezo wa kuendelea kufanya kazi kwa mwaka 2025 kwa kuendelea kufanya kazi tofauti tofauti kuanzia kucheza games, multitasking tasking nk bila kuganda ganda kabisa.
โ๏ธ Software update
Simu hii ilikuja na ios 13 lakini bado inaendelea kupokea update mbalimbali ya ios 18 Pamoja na ios 26 kwaiyo simu hii bado inaendelea kupokea update ya muda mrefu kuanzia ios 13, 14, 15, 16, 17,18 na hii 26.
โ๏ธ Battery ๐
Betri lake lina uwezo wa kukaa na chaji kwa masaa 17 Bila kuisha ikiwa utakua unaangalia video pekee, ikiwa ina support mfumo wa wireless chaji na fast chaji ya 18W.
Bila kusahau ina IP68 rating ambapo ina uwezo wa kuzuia vumbi na maji ya siingie kwenye vifaa hivi ikiwa itatumbukia ndani ya maji isizidi umbali wa mita 2 ndsni ya dakika 30.
Kama unahitaji simu toka iphone kwa mwaka huu 2025 unaweza tumia hii fresh tu โ .
#bongotech255