iPhone 11... kuvunja rekodi?

Sio market is saturated,watu wameanza kuwashtukia apple, android wengi wanatoa mid range phones zenye specifications sawa na za premius brand za apple, kwa nini mtu ahangaike na iphone?

Mauzo yanadrop na yataendelea kudrop zaidi. China ambayo ndio ilikua soko number 2 la iphones sasa hivi kuna makampuni kibao yanatoa simu zenye specifications na hata zaidi ya iphone kwa bei ndogo, wachina wameanza kustuka.

Soko alilobakia nalo ni Marekani ambapo kuna ushindani mkubwa na makapuni ya simu ya android yenye simu nzuri na bora kuliko Iphone kwa bei ndogo. Mauzo yatazidi kushuka kadri ya miaka inavyoenda.

Kama nilivyosema hapo awali, watumiaji wa iphone ni waumini, wao kwa kua iphone inajibrand kama premium brand, hata ikiwauzia mavi ikawaambia ni premium product watanunua tu.

Huko China wachina wanasema Iphone imeiba camera setup ya Mate 20.
 
Aisee!
 

Watu kama wewe siwez kubishana nao, ntapoteza tu nguv zangu
 
We elewa android one sio stock japo updates zao ni kila mwezi
Mostly security na bloatware updates
Kaangalie madesa yako vizuri, Android one ndio hio hio stock, na Kama unakataa unatakiwa ulete utofauti baina ya stock na Android one.
 

Ata high end android device hazina uwezo asilimia 80 ya iphone performance
Kuna big difference between android na iOS
Iphone 4gb of ram ni equivalent to 10gb on android, hii ni kwakuwa iOS ni light na efficiency
Ata battery kuwa na 2500mAh inakupa many hours kuliko 3500mAh ya kwenye android counterpart
Sichukii android ila iOS ina uwezo zaid ya android, in-fact ukinipa nichague kati ya android au iphone nachagua android kwakuwa napenda vya wizi( movies, games, na apps zisizo store)
 
Wakisure bana.....mi sina mbwembwe kwenye mambo ya simu nunueni tu milion tatu mkipigika mtakuja wenyewe kutuuzia laki tatu....hii ndio style yetu ya maisha akina fisi sie
 
iPhone gani nzuri mtu akipigika akuuzie laki 3?
Wakisure bana.....mi sina mbwembwe kwenye mambo ya simu nunueni tu milion tatu mkipigika mtakuja wenyewe kutuuzia laki tatu....hii ndio style yetu ya maisha akina fisi sie
 
Acha uongo aisee!! Binafsi hutumia android na iOS sambamba!! Hapa nina samsung S10 plus na nina iphone Xs Max hayo usemayo si kweli!! Unataka nambia iphone 8 plus kuliko samsung s10?
 
Warranty. Thats all.
 
You are arguing like Simba na Yanga fans.
 
Ndo nyie mnaonunua pc au simu kuangalia numbers.

Elimu ni muhimi sana.
Ndio nyie mnaonunua pc au simu kwa kuangalia logo ya apple

Kwa mtu aliyetimamu hawezi kufananisha megapixel 40 ya huawei p30 pro na iphone 11 yenye pixel 12+14

Kupata elimu isiyoweza kukusaidia kuchanganua hata vitu vidogo ni zaidi ya ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…