Kibwebwe
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 826
- 265
Kijana Mmoja alifungwa jela miaka 7, baada ya miaka miwili 2 baba yake alimwandikia barua,
'MWANANGU MPENDWA UMENIACHA KATIKA HALI YA UMASIKINI NA MARADHI YANASUMBUA NATAMANI HATA UNGEKUEPO UNISAIDIE KULIMA SHAMBA'.
Mtoto akamjibu
'baba Usijaribu kulima Hilo Shamba Hata Kidogo Sababu Zile Pesa Nilizo Ziiba (billion) nimezificha Huko Shambani,'
Basi Kama Ujuavyo Askari Huwa Wanasoma Barua Inayoingia Na Kutoka, Na wanavyopenda hela Kesho Yake Mzee Anaamka Asubuhi Anakuta Askari Kama 100 Hivi Wamelima Shamba Loote Na Hawajakuta Hata Kumi,
Kijana akamwandikia baba barua,
'NATUMAINI MSAADA WANGU UMEUFURAHIA VYEMA, ENDELEA KUPANDA MAHINDI.