Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,912
- 3,022
Godoro unauza.....
Godoro unauza.....
[emoji1787][emoji1787]Godoro unauza.....
Material ni unga wa supa sinaMaterial/Mali ghafi zake ni za aina ipi/specifications ?
HahahHivi hilo godoro mlikosa ka uvungu kakuficha fasta mnatoa baada ya foto?
Ni ngumu na ni imara na pia inafaa kwa mazingira ya ndani ...kwa hatua ya nyumba inabid iwe na plaster tu kazi inafanyika...karibu sanaNapenda sana vitu adimu vya kisasa, nipe uimara wa hii material kama vile una watoto. Hizi unabandika baada ya hatua ya plaster au?.. kama kuna kuepuka skimming, rangi naweza kutumia hii njia kwa nyumba nzima. Bajeti ya 20m inapendeza
Hizi zinauzwa kwa square metre tshs 35000..so lazima tupate vipimo vya sehem kisha kujua idadi ya panels zizoitajika
Nimesubscribe, endeleza uzi kwa updates usiukimbie tafadhali au kuanzisha uzi mpya. Naendelea kujifunza na kubadili plan ya awali bila shaka tutafanya kazi.Ni ngumu na ni imara na pia inafaa kwa mazingira ya ndani ...kwa hatua ya nyumba inabid iwe na plaster tu kazi inafanyika...karibu sana
No ni panelsNi wall paper au?
Usijali mkuu karibu sana tuko pamojaNimesubscribe, endeleza uzi kwa updates usiukimbie tafadhali au kuanzisha uzi mpya. Naendelea kujifunza na kubadili plan ya awali bila shaka tutafanya kazi.
Kuwa mkweli kama unapewa kazi basi ifanye wewe maana mafundi wa dar ni madalali fundi wanatuharibia sana kazi