Ipe ofisi au nyumba yako na panel za ndani

Yaani KAZI ni nzuri mno mno. Big up. Ila iwe ni wewe mwenyewe usije ukawa dalali!!! Lazima ututhibitishie hilo maana DSM tunawajua.
 
Hahaha usijali karibu sanaa tegemea kitu kizuri kutoka kwetu
 
Kibabrown una kazi nzuri, Ila unafeli kwenye Maelezo.
Wengi tumeielewa kazi , changamoto inakuja ,hatuna Taarifa za kutosha.
mfano nikipaka haichafuki?, Materila yake ni nini , Unga , Paper , Udongo ,wewe umekalia supa sina.(Tuelezee ni nini)
unasema 50cmX 50Cm hapa pia unatuchanganya.

hebu tudadavulie nikupe kazi.
 
Hizi panel zinatumia unga unaoitwa supa sina ni unga mgumu unaotumiwa hata mahospitali kwa ajili ya ogo
Ni nzuri na imara karibuni ma boss zangu
 
Back
Top Bottom