Ipe neno Moja picha yangu ya Leo

Huyu kuku ni yule chiba sidokoi hata awekwe viungo gani mm mh no meooww
 
Wanyonge wana kitu cha kujifunza kwenye hii picha. Tulipowaambia nyumba yoyote ile ili iwe na usalama makini, inahitaji mifumo imara ya ulinzi! Wakapinga! Kisa kuna mtu yuko pembeni analinda hizo nyama, halafu ni mkali kiasi cha paka kuogopa kudokoa pamoja na njaa kali na uroho uliopitiliza!

Balaa lilikuja pale huyo mtu alipompa paka kisogo! Hakika nyama zote kwenye sufuria zilianza kusombwa kwa kasi ya ajabu! Nyama nyingine zilifichwa uvunguni, nyingine ziligawiwa kwa watoto, marafiki, na mapaka wengine kutoka nyumba za majirani, nk.

Hadi sasa sufuria limebakiwa na mifupa tu. Nyama zote kwisha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…