Ipe maneno

Ipe maneno

Mwanaukweli

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2007
Posts
4,789
Reaction score
1,732
181189_166203730182490_1467302092_n.jpg
 
Naona sirikali mweupe halafu mwananchi mweusi.
 
Duh! wachora katuni ni nomer...
 
Pamoja na umasikini wetu tuna jukumu la kulipa kodi kwa maendeluo ya nchi yetu though viongozi wengi hutumia rasilimali zetu vibaya kwa manufaa yao binafsi
 
wanadumisha amani, upendo na mshikamano wao! msiwaonee gere.
(mwenye bakuli la uji anadumisha upendo, na anayenyweshwa uji ana-injoi mshikamano)

kwani unadhani akiamua kuunywa yeye si atapata nguvu za kumkimbia huyo kibosile.
 
Pamoja na umasikini wetu tuna jukumu la kulipa kodi kwa maendeluo ya nchi yetu though viongozi wengi hutumia rasilimali zetu vibaya kwa manufaa yao binafsi
Tunapolipa kodi, kodi hiyo ikitumika vibaya (ikiliwa na wanasiasa) tukiuliza tunaambiwa wachochezi.
 
Tunapolipa kodi, kodi hiyo ikitumika vibaya (ikiliwa na wanasiasa) tukiuliza tunaambiwa wachochezi.

Au unaambiwa umetumwa, umenikumbusha jana katika kipindi cha TUONGEE ASUBUHI kinachorushwa na Star Tv kuna msikilizaji mmoja alimwuliza Lukuvi maswali flani ambayo yanaonekana kama yalimkwaza na kuanza kusema huyo mtu ni kama Lema pia akaenda zaidi kwa kusema kwamba ameongea na vijana wake ili waangalie kwenye mtandao ameongelea kwa kutumia mnara gani ili aweze kumtafuta na kubadilishana nae mawazo, sasa kwanini anamtafuta tena (ALIKUWA ANATISHIA)
 
Eti ilipokuja mara ya mwanzo walisema ni Taswira ya muungano wa Tanzania!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom