Ipe maneno

Ofisi ya anga ya Vasco Da gama/mkweree/jmk/sharobaro/kiongozi wa mungiki/mchekacheka ovyo!!
 
Tazameni ndege warukao angani hawalimi na hawapalilii...wanaishi vizuri kula, kushiba na kupendana iweje sisi wenye akili kuliko wao shida zinatuandama na kututesa namna hii (umeme, maji, foleni, huduma za hospitali) utafikiri hatukuumbwa na aliyewaumba hawa ndege.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…